Blog Archive

Monday, 14 May 2007

Back 2 Bandari Salama- Tanzania!

2000-2001



Back in Dar city, nilifanya kozi fupi ya masomo ya awali ya kompyuta katika majengo ya kitivo cha Uhandisi CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM (BICO).
Tukiishi tena Sinza (Kumekucha) karibu na Hoteli Ya Vatican, Mama yangu akiwa ni Mchungaji Kiongozi wa KKKT Usharika wa Sinza na Mkuu wa Idara ya Watoto na Akina Mama- Luhter House!



kama ilivyo ada kwa upande wa michezo, nilifanya mazoezi kidogo na timu ya mpira wa kikapu ya Vijana City Bulls yenye makao yake katika shule ya sekondari ya Zanaki chini ya usimamizi wa kaka Bahati Mgunda, Kocha Manase Zablon ma akina Shisaria Mwiki na wengine wakati huu wakifanyia mazoezi viwanja vya Gymkana, na halafu nikajiunga na timu ya UDSM Outsiders (this is my Team 4Life). Nikiwa na UDSM Outsiders nimeshiriki mashindano mbali mbali ikiwemo RBA, historia ni ndefu hapa, tunafanya kazi ya kutengeneza tovuti ya unaweza ukapata mengi huko.

picha chini
Bagamoyo (2007)-picking up my nephew Christina Ndimbo wakati wa likizo ya shule


Cuzin- Joshua Kitale pamoja Bagamoyo


Kiwalani-Bi.Zuma(Bibi Tuungane Mngwamba), Jerry Kitale, Hans Mngwamba, Mch.Thomas Kitale, Mch.Deborah Manyerere, Martin Manyerere, Joshua Kitale(red tshirt) na Juliana Manyerere (Mrs. Malimi a.k.a Mama Gati)
Lushoto- Kufungilio Secondary School, was with my cuz Hans




Bibi Hilda na Bibi Zuma- Maneromango kwa Bibi Hilda (Pasaka 2007)

Mama Mch. Deborah Manyerere, Robert Manyerer (Kofia), Joshua Kitale (miwani) - Maneromango kwa Bi Zuma (2006)




Juu kaka Daudi Mdogo, Mama nami! Mtoni Deaconic Centre!

1 comment:

Born 2 Suffer said...

Nyumbani ni nyumbani kukiwa kuzuri au kubaya.