Blog Archive

Monday, 14 May 2007

Williamson Diamonds Mining-Mwadui Shinyanga-Tanzania!

1962-1977


Hapa ndipo nilipozaliwa tarehe 19 Februari 1975, nikiwa mtoto wa tano kati ya watoto sita wa Familia ya Marehemu Mzee James Manyama Manyerere(R.I.P) na Mama Mchungaji Deborah (Mngwamba) Manyerere.

Ndugu wengine katika Familia hii ni dada Neema Wesseja Manyerere (Nyamoke) a.k.a Mama Tina, kaka Manyerere Martin Manyerere (Luther King) a.k.a Baba James, dada Juliana Tuungane Manyerere (Nyamauna/ Mrs. Malimi) a.k.a Mama Gati, dada Leah Sori Manyerere (Mrs. Kikalugaa) a.k.a Mama Anet na kaka mdogo Daudi Carden Manyerere (Wandinya/Kamuli/Mafuta)

No comments: