Blog Archive

Monday, 14 May 2007

Musoma Mara-Tanzania!

1977-1979

Tuliishi Musoma mjini maeneo ya Nyasho kwa kipindi cha zaidi ya Mwaka mmoja tukiwa njiani kuelekea Dar-es-salaama! Mimi ni mwenyeji wa Musoma, nanye nili Mkwaya go(Mkaluka), Marehemu Baba yangu alizaliwa na kuzikwa Katika kijiji cha Ekondo, kigera etuma! Pembezoni kabisa mwa ziwa la Victoria. Mama yangu ni mwenyeji wa kata ya Maneromango(Mission), wiliya ya Kisarawe mkoani Pwani kablia Mzaramo. Ukae Kunoga Miangu

No comments: