Blog Archive

Monday, 14 May 2007

Bandari Salama(Bongo)- Tanzania!

1979-1994




Tuliishi katika Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania,KKKT usharika wa Ubungo kwa muda wa miezi michache wakati huo Askofu Richard Thomas Kitale akiwa Mchungaji Kiongozi hapo na tukaamiamia maeneo ya Mwenge karibu na shule ya Msingi Mapambano.

Nilipata Elimu yangu ya shule ya watoto wadogo katika shule ya Msingi Kijitonyama(1980) na baadaye kendelea na masomo hayo katika shule ya watoto wadogo Mwenge Mabatini (Magorofa ya Jeshi Mwenge)


1983-1989

Nilipata Elimu yangu ya msingi katika shule ya Msingi Mapambano

1985-1992

Sinza Hosptali (Palestina)
Tuliishi maeneo haya wakati nikiendelea na Elimu yangu ya shule ya msingi Mapambano na baadaye kuchaguliwa kujiunga na shule ya Wanaume ya Sekondari ya Azania(1990-1993)
Nilichaguliwa kujiunga na masomo ya juu shule ya Sekondari ya Tambaza (1994) katika mchakato wa masomo ya Fizikia, Kemia na Hisabati (PCM)
Baada ya miezi michache tu walifikiri ni vema na haki nijiunge na kituoa cha Lutheran Junior Seminary kumalizia elimu yangu ya juu (A Levels) 1994-1996/98

No comments: